Monday, 7 November 2016

TB JOSHUA atabiri mshindi uchaguzi Wa Marekani

Muhubiri maarufu  Africa Tb Joshua Wa nchini Nigeria  atabiri ushindi katika uchaguzi Wa marekani utakaofanyika Novemba 8 mwaka huu.
Ametabiri kwamba Bi. Hillary Clinton ataibuka na ushindi dhidi ya mpinzani wake Bwana Donarld Trump.
Katika ujumbe alioutuma kwenye ukurasa wake wa Facebook TB Joshua amesema kuwa Bi Clinton atashinda kwa ushindi mdogo, lakini atakabiliwa na changamoto nyingini - likiwemo jaribio la kupiga kwa kura ya kutokuwa na imani dhidi yake.

No comments:

Post a Comment