Saturday, 12 November 2016

Maandamano kumpinga trump yaendeleaa


Katika miji kadhaa ya Marekani kwa usiku wa tatu mfululizo, Maandamano yameendelea nchini Marekani dhidi ya Donald Trump. Ikiwemo Mjini portland katika jimbo la Oregon polisi walitumia gesi ya kutoa machozi kuwatawanya mamia ya waandamanaji waliyokuwa wakiandamano kutoka kila upande wa barabara za mji huo,yakitarajiwa kuendelea katika jimbo la chicago baadaye leo.

No comments:

Post a Comment